Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Wednesday, August 28, 2013

Mansour kunguruma siku ya Juma mosi Bwawani’


Sasa kuna kila dalili CCM imejiandalia Kifo Zanzibari. Yule shujaa wa mamlaka kamili ya zanzibar na anayeweza kuthubutu kusema hapana huyu hapa mchana huu hana wasiwasi kwa sababu kwake yeye Zanzibar ni zaidi ya nafasi ya uwakilishi. Mambo yote Jumamosi ukumbi wa Bwawani asiwe na mwana aweke jiwe ni Monsour Himid na Ismail Jussa Ladhu Kunguruma. Wahenga walisema sikio la kufa halisikii Dawa maamuzi ya Dodoma ni msiba kwa CCM Zanzibari

No comments: