Leo Agosti 13,
2013 Busega, Maswa, Meatu, na Bariadi; ni kushiriki kikamilifu baraza la wazi
la katiba. Mwenyekiti Mbowe na Mb. John Mnyika watajumuika nanyi kupitia rasimu
ya katiba mpya.
Busega: Baraza la
wazi la katiba leo litaanza saa 3 asubuhi.
Maswa: Wanachana
na wapenzi hudhurieni baraza la wazi la katiba kuanzia saa 5 kamili
Meatu: mtaanza
baraza la wazi la katiba saa 7 mchana. Wanachama na waalikwa mkifika anzeni
kutoa maoni yenu juu ya rasimu; tuko pamoja!
Bariadi: ni haki
na wajibu kushiriki baraza la wazi la katiba leo tarehe 13 Agosti kuanzia saa 9
alasiri.
No comments:
Post a Comment