CHADEMA imekuwa ikifanya mikutano ya hadharani nchini
kuzungumzia mchakato wa katiba. Wamekuwa wakitoa elimu na kuwaeleza wananchi
umuhimu wa kazi hiyo kwa taifa.
Kamanda wa anga Mh. Freeman Mbowe amesema katiba mya inahitaji busara na hekima |
Wananchi wa Arusha wakipokea neno la katiba kwa umakini |
|
Dr.Slaa akichukua mawazo ya wananchi na kutoa elimu ya katiba Arusha |
No comments:
Post a Comment