Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Tuesday, August 20, 2013

Bundi ainyemelea Uvccm Arusha


Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(Uvccm) mkoani Arusha, Robinson Meitinyiku amepinga mpango wa baadhi ya vijana wa jumuiya hiyo wilayani Arumeru kukusanya saini kwa lengo la kumwondoa mwenyekiti wao. Vijana hao wa Arumeru wakiongozwa na Ally Majeshi wanakusasanya saini zaidi ya 50 kwa lengo la kumwondoa Mwenyekiti wao, Boniphace Mungaya kwa madai kwamba hafai. Meitinyiku alisema ofisi yake imepokea taarifa kuhusu kitendo hicho na tayari imeagiza suala hilo lirudishwe katika uongozi wa Wilaya ya Arumeru.
Source: Mwananchi ( August 2013).Bundi ainyemelea Uvccm Arusha. Arusha. Retrieved from Mwananchi

No comments: