Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Tuesday, March 12, 2013

SIKILIZA MAHOJIANO KATI YA DR. SLAA NA WPFW 89.3 FM RADIO YA D.C WASHINGTON JUMATANO



Dr. Wilbroad Slaa, amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio  ya Washington, D.C. U.S.A. siku ya jumatano tarehe 13 Machi, 2013. Saa saba mchana, saa za Amerika ya mashariki ( 1pm U.S Eastern time)/ Saa mbili usiku saa za Afrika mashariki (8pm East Africa time). Kumefanyika jitihada za kuushirikisha ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kushiriki mahojiano haya bila kuwa na mafanikio. Bado jitihada za kuushirikisha ubalozi zinafanyika.

Baadhi ya mambo yatakayo jadiliwa ni hali ya siasa Tanzania, hali ya kijamii, hali ya kiuchumi, amani na usalama wa Tanzania na mengineo.

Bofya hapa kusikiliza WPFW radio live WPFW Radio 

No comments: