Huyu Kawambwa na Mulugo wanakataa kujiuzulu, eti kujiuzulu ni siasa, #Uwajibikaji sio siasa. Lazima wajiuzulu ili kuweka msingi kwamba kila Waziri atawajibika kwa matokeo ya eneo lake la kazi. Waziri, Naibu wake na Katibu Mkuu wa Wizara, pia kamishna wa Elimu lazima waondoke, uchunguzi wa wataalamu ufanyike kisha mjadala wa kitaifa
Source: Zitto Kabwe Facebook wall (February 22, 2013). Follow Zitto on Facebook click here, Zitto Kabwe
No comments:
Post a Comment