Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Monday, January 28, 2013

FROM FACEBOOK: ZITTO KABWE ON MTWARA GAS SAGA

January 26, 2013

Hatuwezi kuendelea kuzozana wakati nchi yetu inaungua. Masuala yanayoendelea Mtwara yanahitaji kuingiliwa Kwa busara ili kulimaliza suala hili. Vurugu, kuvunja Mali za watu na mauaji zitaathiri nchi yetu. Juhudi za serikali kutafuta mchawi badala ya kutoa majibu ya madai ya watu wa Mtwara Ni udhaifu mkubwa sana usiovumilika. Narudia kauli ya ndugu Benjamin Mkapa kwamba majadiliano yafanyike Amani ipatikane na Mtwara na Tanzania ipate maendeleo ya watu wake. We can not afford the blame game as spearheaded by the govt. Let us Go and engage the people, the sovereign!

January 26, 2013

Jenerali Ulimwengu alipata kusema 'mjinga anateuliwa kuwa Waziri, ghafla anakuwa mwerevu sanaaa kiasi cha kuitwa werevu wajinga' - Leo Simbachawene anaweza kumwita Zitto si mzalendo. Namwomba twende wote Mtwara he he he

January 26, 2013

Watawala kila siku wapo kwenye vyombo vya habari kupeleka lawama kwa watu kuhusu hali ya Mtwara. Leo Simbachawene anamlaumu Zitto kuchochea wananchi wa kusini. This is rubbish. Hii ni movement ya wananchi wenyewe. Sasa mali zinaharibiwa Masasi na Mtwara, watawala wetu wapo busy kwenye press. Guys, tokeni Dar nendeni Mtwara. Incompetence yenu destroys this country!

No comments: