Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Wednesday, February 4, 2015

BAVICHA kanda maalum ya DSM kufanya maandamano Ijumaa kuhoji Tume ya Uchaguzi

Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) kanda maalum ya DSM.

Tumeadhimia kufanya maandamano siku ya ijumaa tareh 6.2.2015 

Maandamano yataanzia katika viwanja vya biafra saa 2:30 asubuh na kuishia katika ofisi za tume ya taifa ya uchaguzi zilizopo posta

Lengo la maandamano hayo ni kuihoji tume ya uchaguzi juu ya

1.Ni lini uandikishaji wa wapiga kura utaanza kwa mkoa wa Dar es salaam

2.Utaratibu wa kuandikisha wanafunzi wa vyuo vikuu na utaratibu wao wa kupiga kura Mwezi October 2015

Tunaomba vijana wote waliopo Dar es salaam na maeneo ya jirani wajitokeze kwa wingi.

Upatapo ujumbe huu wataarifu na wenzio

Imetolewa na:-

Hilda Newton,
Katibu Wa Bavicha Mkoa wa Temeke.

No comments: