Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Tuesday, December 30, 2014

NEWS ALERT: MBUNGE JOSEPH MBILINYI "SUGU" AKAGUA DARASA LA COMPUTER

Mh. Mbilinyi akiendelea na ukaguzi
Baada ya kufanya mkutano mkubwa jana; Mbunge Joseph Mbilinyi "Sugu" leo amepita kukagua darasa la computer baada ya kukamilika. Huu ni mpango ulio anzishwa na Mh. Mbilinyi mwenyewe.
Lengo la mpango huu ni kuhakikisha kila mwanafunzi anaye ingia kidato cha nne ajifunze "basic computer skills" .  Mpango huu unalenga kutoa computer 10 kwa kila shule. Kwa wastani wa wanafunzi 40 kwa darasa: hii inamaanisha kila wanafunzi 4 watakuwa na computer moja.

Akiongea na CHADEMA DIASPORA moja kwa moja kutoka Diaspora, Mh. Mbiliny amesema " tumeanza na shule 5 za Sekondari, Mwakibete, Forest, Uyole, Iwambi na Iganzo."

Leo Mh. Mbilinyi alikuwa anafanya ukaguzi wa mradi huu Shuke ya Secondary Mwakibete
Darasa la computer shule ya secondary Mwakibete

No comments: