Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa akiwahutubi wananchi wa
Manispaa ya Iringa, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C ya Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwahutubia katika mkutano wa hadhara wa
Operesheni M4C ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika
kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa mjini Iringa

Katibu Mkuu wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia
maelfu ya wakazi wa Manispaa ya Iringa, katika mkutano wa hadhara wa Operesehni
M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa
Maelefu ya wakazi
wa Manispaa ya Iringa na vitongoji vyake wakiwa katika mkutano wa hadhara wa
Operesheni ya M4C Pamoja Daima wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa
Picha: Joseph Senga



No comments:
Post a Comment