Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowen akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha
Kigonzile katika Kata ya Nduli mkoani Iringa, baada ya kuhutubia mkutano wa
hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima jana.
Mgombea wa udiwani katika Kata ya
Nduli mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ayoub
Mwenda akijinadi mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho, wakati wa mkutano wa
hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kijijini hapo jana.
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, akiwahutubia
wanachi wa mji wa Ifunda mkoani Iringa, katka mkutano wa OperesheniM4C Pamoja
Daima juzi.
Mbunge wa Kawe, Haliama Mdee
(Chadema), akiwahutubia wananchi wa mji wa Ifunda, katika mkutano wa Operesheni
M4C Pamoja Daima, juzi.
No comments:
Post a Comment