Chama Cha
Demokrasia na maendeleo Chadema (CHADEMA) kilikuwa na kazi ya kutafuta kamanda
atakaye peperusha bendera yake katika uchaguzi wa udiwani katika kata ya
Sombetini.
Hatimaye
amepatikana ndugu Ally Bananga, katika mchakato huo ambapo walijitokeza
makamanda 6 na Ally Banaga alifanikiwa kushinda kwa 57%. Aliye mfuatia alipata
asilimia 32%, wawili walifungana kwa asilimia 4% na wengine wa mwisho
walifungana kwa asilimia 1.5%.
Ngdugu Noel akitangaza matokeo
Ndugu Ally Bananga akiomba kura za Ndiyo |
Ndugu Abdi Madava akiomba kura za Ndiyo |
Makamanda wakisubiria matokeo kwa shahuku kubwa |
Wagommbea katika picha Ya pamoja baada ya kumaliza kuomba kura za ndio kwa Makamanda wao |
Kura zikihesabiwa
Wagombea wakipongezana na kukuballiana na matokeo Habari: CHADEMA Kanda ya Kaskazini blog |
No comments:
Post a Comment