Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Wednesday, October 9, 2013

Mahojiano; Dr. Slaa na Greg Garrison 93.1 WIBC; Pia Dr. Slaa na Pacifica satation WPFW Washington. D. C.



Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa ambaye yupo kwenye ziara ya "VISION TANZANIA" nchini Marekani,. leo amefanya mahojiano na vituo viwili vya radio hapa nchini kueleza mambo mbalimbali kuihusu Tanzania.

Saa tatu asubuhi kwa saa za Marekani ya Mashariki, Dr. Slaa alikuwa katika studio za 93.1 WIBC Indiannapolis kwenye Garrison Show




Mchana wa leo (saa saba mchana kwa Marekani ya Mashariki), Dr Slaa alifanya mahojiano kwa nia ya simu na WPFW Radio ya Washington, D.C.




Kazi ya kurekodi imefanywa na Jamii Production;  Usahihi wa Fikra ndio Fikra Sahihi

No comments: