Hii ni baada ya Mh.msigwa kufanya mkutano wa hadhara mjini Iringa akiwataka wananchi
1. Waache maramoja kuchangia shughuli za mwenge kwa I budget ya mwenge imeshapitishwa bungeni, pia fedha inayo Changishwa haina ukaguzi wowote wa CAG kuonyesha imetumika vipi, alisema hizo pesa badala yakuzipoteza kwenye shughuli za mwenge ni bora wakalipia kodi ili kuongeza Malipo.
2. Na pia katika mkutano huu aliagiza nguvu ya umma kutumika(kuyapiga mawe) magari ya manispaa ya iringa iwapo yataendelea Kuwa miss used kipindi viongozi wa ccm (kinana na mwenzake nape) wanapokuja jimboni Iringa.
No comments:
Post a Comment