Mwaka 1978, maelfu ya watanzania walijeruiwa na kufa katika vita vya
Kageroa wakijaribu kuilinda Tanzania. Hawa mashujaa HADI wa leo wengi wao
wametelekezwa na serikali ya CCM. Wanaoshiriki kutunza amani chini ya umoja wa
mataifa nao udhulimiwa haki zao mafao yao yanapoletwa nchini chini ya usimamizi
wa CCM.
Chini ya utawala wa CHADEMA; huluma zinazoendelezwa na serikali
ya kidhalimu ya CCM zitafikia tamati
. Dr. Slaa yuko Marekani katika ziara maalum
ya kujifunza inayoitwa "Vision Tanzania" itakayomuwezesha
kujifunza mambo mbali mbali kwa manufaa ya watanzania.
Dr. Slaa anaamini kwamba
Tanzania ina uwezo wa kuwahudumia wananchi wake pamoja na wanajeshi wake ikiwa
nchi itatumia rasimali zake kwa manufaa ya nchi na siyo kwa ajili ya
wachache.
Dr. Slaa anaamini kwamba Tanzania inahitaji Serikali ya
wananchi na siyo serikali ya watawala.
Dr. Slaa kwa unyenyekevu
alikubali mwaliko kuwatembelea majeruhi katika hospitali kubwa ya kijeshi
jijini Bethesda, Maryland, U. S. A., ambako alikula chakula cha mchana na majeruhi mbali
mbali kutoka Vitani Afghanistan
. Bila shaka,hii ni safari ya kihistoria. Dr. Slaa
anawaomba waTanzania wajitayarishie mabadiliko. Anawaomba vijana wote wame
mstari wa mbele kusambaza habari njema za mabadiliko ili kumn'goa adui wa
mtanzania CCM ! mama wa ufisadi.






No comments:
Post a Comment