Balozi wa China, Dr. Lu Youqinq, nchini Tanzania ametamka kwenye mkutano wa
CCM uliofanyika Shinyanga kuwa China itaisaidia CCM katika mambo yake yote kwa
asilimia 100.
Hayo yalitamkwa na balozi wa china huko Shinyanga kwenye mikutano ya CCM chini
ya katibu mkuu Abraham Kinana na naibu wake nape Nauye.
Balozi, Dr. Lu Youqinq, China akiwa kwenye kutano wa Magamba, Shinyanga |
My take: China imeshachukua kadi ya CCM kitu ambacho
kinakinzana na miiko ya ubalozi.
No comments:
Post a Comment