Wito ni kuwataka wananchi wa Tanzania waandike na kuweka saini kumtaka mheshimiwa waziri mkuu kufuta kauli yake inayoruhusu polisi kupiga raia katika hotuba yake ya kufunga Bunge la bajeti tarehe 27 Juni 2013.
Click hapa kusign petition: Petition waziri mkuu afute kauli
Click hapa kusign petition: Petition waziri mkuu afute kauli
Click hapa kusign petition: Petition waziri mkuu afute kauli
No comments:
Post a Comment