Nawashukuru wananchi wote waliojitokeza kumuunga mkono mbunge wao kuanzia saa Tatu Asubuhi Mpaka saa kumi jioni kwenye Kazi za mikono. Joshu Nassar
![]() |
Jitihada zangu Binafsi kujaribu kutatua tatizo la Maji maroroni Arumeru. Kulia ni
Mkiti wa kijiji cha Maroroni baada ya kumkabidhi rollers za Maji kijijini hapo
|
![]() |
| Kamanda Nassar akipiga sururu |



No comments:
Post a Comment