WAPENZI WA CHAMA
CHADEMA
|
CCM
|
Wapenzi wengi wa chama ni
wananchi wa kawaida na masikini sana wanaotaka maisha yenye nafuu kidogo
|
Wapenzi wake wengi ni watu walioko
kwenye system wanaopambana kuzilinda nafasi zao kwa njia yeyote ile.
|
ULINZI
CHADEMA
|
CCM
|
Chama na viongozi hulindwa
na vijana dhoofu ili hali (wasiio na silaha yoyote) ila wenye
za kichwani .Huifanya kazi hii kwa kushirikiana na wananchi wakawada.
|
Hulindwa na vyombo rasmi ikiwemo vyombo
vya usalama vya serikali vyenye nyenzo za kisasa.
|
VIONGOZI WAKE
CHADEMA
|
CCM
|
Wanapenda kuchanganika
na wananchi wa kawaida hata kama ni kwenye dala dala.
|
Wanapenda kuishi maisha ya juu na
yakutukuzwa zaidi.
|
Niwanyenyekevu Sana kwa
wananchi
|
Wakati Fulani huwatisha wananchi hasa
wanaofikiri kinyume na wao.
|
KAMPENI
CHADEMA
|
CCM
|
Wananchi huhudhuria
mikutano kwa baahati nasibu tuu baada ya kutangaziwa.
|
Wahudhuriaji hukusanywa na kupelekwa kwa
mabasi kwenye mkutano na kisha kupatiwa posho ya kujikimu.
|
Wananchi ndio
huwachangia wagombea ili waweze kufanya kampeni.
|
Wagombea ndio huwapa wananchi kitu
kidogo ili waweze kuwachagua.
|
Hueleza jinsi Serikali
inayoongozwa na CCM, ilivyoshindwa kutekeleza majukumu yake.
|
Huilamu CHADEMA kwa kurudisha nyuma
maendeleo ya nchi (japo wao ni wapinzani tu).
|
KATIKA KUONGOZA SERIKALI
CHADEMA
|
CCM
|
Ni Chama cha upinzani (ambacho
sera zake haziwajibiki kutekelezwa)japo kwa kiwango kikubwa ndizo
zinazotekelezwa.Mf; Mchakato wa katiba mpya
|
Ni Chama tawala (ambacho sera zake ndizo
zinatakiwa zitekelezwe) ila wanapobanwa wanatekeleza za CHADEMA kwa kuwa hoja
za CHADEMA zinakuwa nzito mno.
|
BUNGENI
CHADEMA
|
CCM
|
Wanapenda kuhoji mambo
hata kama jambo linaonekana kuwa dogo.
|
Wana gonga meza hata msemaji anapotaja
wilaya za Tanzania (mradi tu msemaji awe CCM).
|
Wote Wako makini wakati wote.
|
Wengine wanasinzia, wanaongea, wanachat
isipokuwa wachache tu ndio wanakuwa makini wakati wote.
|
UWAZI
CHADEMA
|
CCM
|
Ni wawazi sana na
inapotokea jambo lenye utata kidogo tu wanakuja JF, au kuita
vyombo vya habari kwa ajili ya ufafanuzi.
|
Ni wagumu wakutolea mambo ufafanuzi hadi
waone hakuna tena ujanja .Wakati Fulani hata wakialikwa kwenye midahalo
hawahudhurii.
|
No comments:
Post a Comment