Gari ya JWTZ lapinduka na kuua askari kadhaa wakiwa njiani kuelekea Mtwara kuongeza nguvu
Jumla ya askari 32 ndio walikuwa safarini kuelekea mjini Mtwara. Ajali hiyo imepelekea vifo vya Askari wanne (4) wa JWTZ maeneo ya Kilimahewa huko Nachingwea na katika ajali hiyo waliojeruhiwa ni saba (7)
No comments:
Post a Comment