MWENYEKITI wa Chama Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akirusha moja ya njiwa wanne waliorushwa kwa ajili ya uzinduzi wa Kanda ya Pwani (Ilala, Temeke, Kinondoni na Pwani) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana, kwenye Uwanja wa Maili Moja, mjini Kibaha.

No comments:
Post a Comment