Anaitwa Jayson, ni mwandishi wa habari wa BBC na the monitor. Alikuwa kwenye mkutano wa CCM huko loliondo ambapo wanawake wa kimasai walikuwa wamemgomea mwigulu nchemba. Alinyang'anywa kamera yake, passport ya kusafiria, kitambulisha chake (International ID Press). Polisi wakamweka kwenye gari yao landrover kwa masaa matatu.
Source: Hans M. (March 2013). Mwandishi wa BBC aliyeokolewa na Tundu Lisu baada ya Mwigulu kuamuru akamatwe huko Loliondo. Retrieved from Jamii Forums

No comments:
Post a Comment