Mh. John Mnyika ndio anatoa neon la shukrani ili kufunga shughuli hii. Anasema wote watakaotaka kwenda Kibaha kwa Magari yao binafsi wafike Makao Mkuu saa sita mchana kwa ajili ya kuanza msafara wa kuelekea Kibaha. Watakaoenda kwa Mabasi kituo kitakuwa kwenye daraja la mpaka wa Kibaha na Dar es salaam. Mkutano utaanza rasmi saa 9 kamili. Wote mnakaribishwa. Anasema watu wajiandae pia kuchangia harakati hizi hiyo kesho pale Uwanjani.
Anamkabidhi Mh. Mabere Marando nyaraka zote za Kanda kama ishara ya kumkabidhi rasmi uongozi wa Kanda hiyo. Marando ndio anatoa neon la mwisho la kufunga Kongamano hili. Anamshukuru M/kiti na Viongozi wengine kwa kuwateua. Anamkaribisha M/kiti Taifa ili afunge Kongamano Rasmi. Mbowe ndio anaongea sasa

No comments:
Post a Comment