Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Friday, April 19, 2013

MAHOJIANO: Mbunge wa viti maalumu, Leticia Nyerere, CHADEMA, na Jmii Production

Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Leticia Nyerere, akihojiwa na mwanaharakati wa Changamoto yetu Mubelwa Bandio 
Yeye ni Mjumbe wa kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Katika mahojiano haya, Mhe. Nyerere amezungumzia mambo mengi ikiwemo
1: Historia ya maisha yake
2: Wajibu wa mbunge wa viti maalum
3:Ushirikiano wa wabunge wanawake katika kumkomboa mwanamke
4: Utata wa uraia wa nchi mbili

Na mengine mengi tu karibu uungane nasi




Source: Shatry E. & Bandio M. (March 2013). Mahojiano: Mbunge wa viti maalumu, Leticia Nyerere, CHADEMA na Jamii production. Jamii Production. DMV. Retrieved from Swahilivilla 

No comments: