CHADEMA DIASPORA

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com ------Nguvu Ya Umma-----On Twitter @ChademaDiaspora

Thursday, November 5, 2015

ASANTENI SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI, MBARALI 2015

›
Kwa marafiki na wapenzi wangu wote tulio shirikiana kwenye kampeni zangu, Liberatus Mwang’ombe, za ubunge 2015 jimbo la Mbarali; ...
Thursday, October 22, 2015

BREAKING NEWS: MBIO ZA UBUNGE: MAFULIKO YAHAMIA MBARALI KWA MWANG'OMBE, AVUNJA REKODI

›
Liberatus Mwang'ombe "Libe" ameendelea kuvunja rekodi kwa kukusanya watu wengi kuliko mgombea yeyote wa ubunge aliye wahi k...
Wednesday, October 21, 2015

PICHA: JUST PICHA: MWANA DIASPORA NA MBIO ZA UBUNGE: WANAMWITA RAIS WA MBARALI

›
Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" aliye wahi kuishi Maryland, DC na Virginia (DMV) amekuwa akivunja rekodi kwenye historia za mb...
Tuesday, October 20, 2015

BREAKING NEWS: MBOWE: LIBERATUS MWANG'OMBE NDIYE MGOMBEA WA UBUNGE MBARALI KUPITIA UKAWA

›
Liberatus Mwang'ombe akichanganua changamoto za Mbarali mbele ya Mh. Lowassa Mh. Mbowe "Liberatus Mwang'ombe ndio mgombe...
Friday, October 16, 2015

Liberatus Mwang'ombe aongelea changamoto za Mbarali na Mwananchi LTD

›
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria ...

BREAKING NEWS: MAMA REGINA LOWASSA USO KWA USO NA MWANA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE

›
Mama Regina Lowassa leo alikuwa Chimala, Mbarali akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mbarali, Liberatus Mwang'ombe "Libe". Akion...
Tuesday, October 13, 2015

MBIO ZA UBUNGE: LIBERATUS MWANG'OMBE AENDELEA KUWA KIMEO KWA WAGOMBEA WENZAKE

›
Nyota ya mwana-diaspora kutoka Marekani inaonekana kung'aa kwenye mbio za ubunge mwaka huu. Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe...

DEVELOPING STORY: PICHA: MWANA DIASPORA BADO AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE

›
Ni Liberatus Mwang'ombe ambaye amewahi kukaa Washigton D.C., ameendelea kukonga nyoyo za wana Mbarali kwa kila uchao. Kila baada ya...
Sunday, October 11, 2015

PICHA: JUST PICHA: KIJANA KUTOKA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE AENDELEA KUCHANJA MBUGA MBIO ZA UBUNGE

›
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa m...
›
Home
View web version
Powered by Blogger.