Mkutano wa CHADEMA wilayani Mbarali ulio kuwa
ufanyike Rujewa Jumapili Mei 25, 2014; Rujewa Gest, saa nane mchana
(2pm) ukiwa na agenda zifuatazo ulizuiliwa na polis kwa madai kuwa kutakuwa
fujo na intelejensia sio nzuri.
Agenda za mkutano ni
-Ushuru ulio pitishwa na madiwani wa CCM
-Katiba na UKAWA
-Taarifa ya CAG juu ya ubadhirifu wa Billion mbili
na million mia nne (2 billion na million 400) fedha za halimashauri
Hata hivyo kwa sababu mkutano ulikuwa ni halali
na una vibari stahiki; polis wameshindwa kuzui huo mkutano moja kwa moja na
kusema ufanyike Mei 28,2014 Jumatano. Habari kutoka kwa watu wa Mbarali
wanasema kuwa polis wamekuwa wakizuia mikutano ya CHADEMA na kuwatia kizuizini
viongozi wa CHADEMA mara kwa mara kitu ambacho kilipelekea mwenyekiti wa
CHADEMA wilaya ya Mbarali kumlima barua OCD. Pia inasemekana hujuma za kuzuia
mkutano huo siku ya jumpili ni kwa sababu watu wengi walikuwa wamehamasiki
kuhudhuria na kusikia hatma ya ubadhirifu wa billion 2 na ushuru wa gunia la
mpunga Tsh 2000/=. Imani ya polis na watu ambao wapo nyuma ya zuio la mkutano
huu ni kuwa wana Mbarali wengi huwa mashambani siku za wiki ndio maana
walikataa huo mkutano usifanyike Jumapili
NB: Madiwani wote wa CHADEMA Mbarali watakuwepo na viongozi wa wilaya
Info na Maswali kuhusu mkutano piga;
767 362230 Nicko
753 786792 Pater Mwashiti
Mnaombwa kuhudhuria na
kuwajurisha wengine
No comments:
Post a Comment