Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Monday, February 24, 2014

Picha: Siku CHADEMA ilivyo zindua kampeni Jimboni Kalenga

 Kama askari wa Mkwawa vile. Hizi ndizo silaha alizokuwa akitumia Chifu Mkwawa
 Ndugu Yusuf aliposimama jukwaani leo Ifunda kumuunga mkono mgombea Grace Tendega ambaye no mke wake. Aliwaambia wananchi kuwa kuanzia ngazi ya familia mwanamke daima ndiye mtendaji
 Ukoo wa Chifu Mkwawa na mapokezi ya CHADEMA na mgombea wake, Kalenga

Wanafunzi tuko pamoja katika mapambano haya, nipeni kura niwawakilishe kupigania elimu bora Jimbo la Kalenga ikiwa ni ni hatua ya kwenda kwenye elimu ya bure chini ya uongozi wa CHADEMA.

No comments: