Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Wednesday, February 19, 2014

CHADEMA yampa JK masharti magumu

  • Yampa siku tatu afute kauli yake ya kuashiria vurugu
  • Yaanika matukio ya kinyama ya CCM, Nape ababaika
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa siku tatu Rais Jakaya Kikwete afute kauli ya kutaka CCM wajibu mapigo ya wapinzani, kikidai kuwa inachochea vita ya kiraia ndani ya nchi.
Huku kikianika orodha ya vitendo vya kikatili vilivyofanywa na wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CCM kwa Wana CHADEMA katika chaguzi mbalimbali bila kuchukuliwa hatua, chama hicho kimesisitiza kuwa asipofanya hivyo watamshitaki kwenye jumuiya za kimataifa.
Hatua hiyo inakuja kufuatia kauli hiyo ya Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wakati wa kufunga mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) mjini Dodoma mwishoni mwa wiki iliyopita.
Tanzania Daima

No comments: