Mbunge wa
arusha mini, Godbless Lema amepigwa vibaya na jeshi la polisi bila sababu baada ya kufika
kwenye kituo kwa lengo la kuangalia zoezi la kuhesabu kura linavyo
endelea, lakini chakushangaza baada tu ya kushuka kwenye pikipiki alirukiwa na
askari polisi na kupigwa vibaya na kuumizwa mguu na tumbo na kumtupa kwenye
mtaro wa maji machafu kwasasa analia kwa uchungu mkubwa.
Amechukuliwa na
kukimbizwa hospitali.
Na vijana wa Arusha wamekasirika sana na chochote chaweza tokea mana wamejikusanya kwa
makundi makubwa
No comments:
Post a Comment