Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Friday, September 6, 2013

Uchakachuaji wa mchakato wa katiba Bungeni


Kitendo cha Bunge kujadili na kupitisha muswada wa marekebisho ya sharia ya mabadiliko ya katiba bila kuwa na akidi (quorum) kamili kwa maana ya idadi ya wabunge ni batili. Ilipaswa wabunge wasio chini ya 175 ( nusu) kwa mujibu wa kanuni ya 77 na vipengele vyake.



Kwa kifupi, maamuzi ya leo bungeni hayakuwa halali. Wabunge walio kuwepo ukumbini walikuwa 106 tu. Huu ni uchakachuaji wa hali ya juu. 



Facebook wall: Josh Nassari (Arumeru mashariki)


No comments: