Nani mwongo kati ya mimi na Kagasheki. Haya ndio maadili ya UONGOZI..? Haiwezi
kiongozi Waziri msimamizi wa Ngorongoro, mke wake apewe pesa kwa ajili ya
foundation ya familia yao. Eti Waziri
anasema namfuata! Ninachotaka Waziri ajibu hoja . Akisema mimi natumiwa na mafisadi bado hajajibu
hoja yangu akatae hapa kama hajavunja utaratibu na kukiuka maadili ya UONGOZI
No comments:
Post a Comment