Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Wednesday, September 4, 2013

BREAKING NEWS: Wabunge wa upinzani watoka nje ya bunge kugomea kikao cha muswada wa Katiba



Wabunge wa Kambi ya Upinzani wametoka nje baada Naibu spika kushindwa kutolea ufumbuzi hoja za upinzani na kutaka kuwaburuza baada ya kusimama Tundu Lisu kuuliza muongozo kuhusu kuleta mswaada bila kuwahusisha Zanzibar huku Tanganyika wakihusishwa! Naibu spika akatumia nguvu ya kiti cha spika kumzuia asiongee ndipo upinzani kutoka nje! Kuna kila dalili ya kwamba CCM WANATAKA KUHARIBU MCHAKATO HUU.

No comments: