Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Friday, August 23, 2013

MJADALA WA MAONI YA KATIBA MPYA KWA WAKAZI WA DMV, MAREKAN


Ndugu waTanzania wa Washington D.C., Marekan,  na vitongoji vyake.

Tunapenda kuwakaribisha katika mjadala wa Katiba mpya ya Tanzania utakaofanyika siku ya Jumamosi (24/8/13) kuanzia saa tisa kamili alasiri mpaka saa kumi na mbili jioni.

Mjadala huu utakaorekodiwa kwenye video utasambazwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari pamoja na ofisi husika.




WAHUSIKA WANAOTARAJIWA KUSHIRIKI NI:

1: Wawakilishi wa matawi ya vyama vya siasa (CCM, CUF, CHADEMA)
2: Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za waTanzania 
3: Wananchi wote watakaohudhuria kuchangia na kuuliza maswali.

 Anwani ni;
3621 Campus Drive
College Park, MD 20740

Tafadhali....JIANDAE na Usikose kuhudhuria na kutoa mchango wako ili kufanikisha kupata katiba itakayotufaa sote.

No comments: