Leo usiku kuanzia saa 1.00-1.30 (Saa moja kamili jioni), Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Slaa atazungumzia masuala mengi ya kitaifa yanayoendelea ndani ya nchi, yanayohusu wananchi na Watanzania kwa ujumla, kama vile dhana ya uzalendo, misingi ya amani, usalama wa taifa, raia na mali zao, wigo wa demokrasia na siasa kwa ujumla ndani ya nchi hasa kwa wakati huu tulionao.
Tune ITV.
Baada ya Kinana kumkimbia Dkt. Slaa hapo awali, CCM wamemtuma Makamu Mwenyekiti wao, Mangula. Walipaswa kumleta Mwenyekiti wao, Jakaya Kikwete, maana ndiye saizi ya Dkt. Slaa. Siku nyingine Kinana asikimbie mijadala, asimkimbie Dkt. Slaa. Atakimbia hadi lini?
No comments:
Post a Comment