Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Sunday, August 11, 2013

TANZIA: Msiba CHADEMA kata ya Usariver Arumeru mashariki


Chama cha Demokrasia na Maendeleo kata ya Usariver kimepata msiba baada aliyekuwa mjumbe mkutano mkuu wilaya Meru CHADEMA kutoka kata ya Usariver ndugu Privatus Mahabusi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Seliani baada ya kutapika damu ghafla.



Habari mwenyekiti CHADEMA kata ya Usariver

No comments: