Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Wednesday, June 5, 2013

VIJANA WA CHADEMA WALIVYOSHIRIKI MSIBANI KUMUAGA ALBERT MANGWAIR‏

Vijana wa CHADEMA, wakiongoza na Maenyekiti wa BAVICHA, John Heche leo walijumuika na vijana wenzao na Watanzania wengine kutoa heshima za mwisho kwa mwanamziki Albert Mangwea, leo katika viwanja vya Leaders Club. Heche aliambatana na Diwani wa Sinza, Renatus Pamba, Kamanda Jackson Makala na Katibu wa Tawi la Sinza C, Peter Uiso. Hapa wanasalimiana na watu waliofika msibani, kushoto ni producer maarufu, Mako Chali.

Vijana wa CHADEMA katika msiba wa Mangwea leo, hapa Heche akihojiwa na vyombo vya habari‏


No comments: