Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Saturday, June 15, 2013

News alert: Chaguzi za madiwani katika kata zote nne (4) jijini Arusha zaahirishwa

Kufuatia tukio la mlipuko jana Jumamosi jijini Arusha, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha chaguzi za madiwani katika kata zote nne (4) jijini Arusha hadi Jumapili ya tar 30/6/2013.

Sheria inawapa mamlaka NEC kufanya hivyo pale wanapogundua kuwa hakutakua na uhuru wa mpiga kura kwenda kupiga kura. Alisema haiwezekani uchaguzi ufanyike ktk hali kama hiyo huku kukiwa na wasiwasi.

Idadi ya waliokufa kutokana na Mlipuko wa Bomu hadi sasa inadaiwa kufikia wanne

No comments: