Taarifa rasmi ni kuwa kutokana na mabadiliko ya ratiba ya
kutofanyika mkutano wa uzinduzi kanda ya Magharibi wiki iliyopita sasa mkutano
huo unatarajiwa kufanyika wiki ijayo March 8 hapa mkoani Tabora.
Mkutano huu utaongozwa na wabunge pamoja na viongozi wa kitaifa
ambao ni mh. Mbowe (m/kiti taifa),Mh. Kabwe (mbunge Kigoma kaskazini), Mh. Said
Arfi (mbunge Mpanda Kati) na wabunge wengine wa viti maalum CHADEMA,viongozi wa
mkoa,wilaya na makamanda wote wa mkoa huu.
"wakati wa Tabora kutoitwa ngome na dampo la kura za CCM
umefika.Viongozi wanaofanya kazi za kung'ang'ania milingonti ya bendera na
kuacha kazi za kimaendeleo walizotumwa na wananchi wanapaswa kuadhibiwa na
kulaaniwa vikali,haya yalifanyika Dodoma chini ya mbunge wa Tabora Mjini"
"Popote alipo Nabii (CHADEMA) wale walio waovu hushikwa na wasiwasi(CCM)
watoto zaidi ya laki tatu wako mitaani,serikali inashauri isilaumiwe,kweli
tutafika?
No comments:
Post a Comment