Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Friday, March 15, 2013

Tamara Klajn alipo mpokea Leticia Nyerere kwenye bunge la senate mjini Washington, DC


Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Mhe. Leticia Nyerere akipokelewa na Tamara Klajn, mtaalam kamati ya mambo ya nje (Committee on Foreign Relations), kwa ajili ya mazungumzo na senate kuhusu mfumo wa mabunge mawili yanavyofanya kazi Siku ya  Ijumaa March 15, 2013 katika jengo la Senate Dirksen lililopo Capital Hill Jijini Washington, DC. (Picha na swahilivilla.blogspot.com)


Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere  akipata ufafanuzi kutoka kwa mtaalamu wa senate kitengo cha mambo ya nje, Tamara Klajn jinsi mabunge mawili yanavyo fanya kazi nchini Marekani




Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere  akiendelea kupata maelezo namna mabunge mawili yanavyo fanya kazi huku Liberatus Mwang'ombe akinukuu mazungumzo yao


Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere akiwa kwenye ofisi ya senate ya mambo ya nje alipo fanya mazungumzo na Tamara Klajn, mtaalam kamati ya mambo ya nje (Committee on Foreign Relations),leo Ijumaa March 15, 2013 jijini Washington, DC


Mh. Leticia Nyerere na Mtaalamu wa senate mambo ya nje, Tamara Klajn wakimsikiliza kwa makini mwanasiasa wa Marekani,  Rick Tingling, akielezea historia ya mabunge mawili



Mhe Leticia Nyerere akipata picha ya pamoja baada ya mazungumzo kwenye bunge la senate
Source: Sharty E. (March 15, 2013). Tamara Klajn alipo mpokea Leticia Nyerere kwenye bunge la senate mjini Washington, DC.  Retrieved from Swahilivilla

No comments: