Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Monday, March 18, 2013

TAHADHARI JUU YA AKAUNTI FAKE ZA JOHN MNYIKA KWENYE SOCIAL MEDIA: SAHIHI HIZI HAPA



MUHIMU: Tahadhari kuna mtu amefungua akaunti kwa jina langu na picha ambayo si halali na tayari anafanya mawasiliano na kuandika vitu mbalimbali. Ifahamike wazi katika Facebook nina akaunti hii tu: John mnyika na fan page: John Mnyika  na upande wa Twitter akaunti yangu  ni: @jjmnyika  pia; @TeamJohnMnyika na @TeamUbungo ambazo zipo chini ya Ofisi yangu!  na blogu ni: www.mnyika.blogspot.com

Kwa wale ambao wanaona wanashindwa kuwa friends katika akaunti yangu kwasababu ya kufika ukomo basi nawaomba mjiunge na fan page yangu kwa kupitia link hii:  John Mnyika na si akaunti nyingine!  Naomba tuchukue tahadhari kwa mawasiliano yoyote nje ya akaunti hizo tajwa. 

Asanteni na naomba radhi kwa kadhia au usumbufu wowote uliotokea kwa yeyote kutokana na akaunti feki zilizofunguliwa kwa jina langu.

No comments: