Mbunge Leticia Nyerere akiwa na baathi ya waTanzania, Washington D.C. |
Mbunge wa viti maalum Mh. Leticia Nyerere amewatoa mashaka kwa waTanzania wote waliokua njee ya nchi juu ya swala zima la kuwa raia wa nchi mbili
Amesema kinachoendelea hivi sasa juu ya maoni ya kuanzishwa kwa katiba mpya tume itatumia busara zake ili kuingiza kipengele cha uraia wa nchi mbili katika katiba hiyo mpya kwani itawezesha raia wa Tanzania walioko nje ili kusaidia kujenga taifa la Tanzania katika kuwekeza mitaji yao na miradi mbali mbali ya kukuza uchumi.
Mhe. Leticia Nyerere ameyasema hayo wakati alipoongea na baadhi ya waTanzania waishio DMV Nchini Marekani.
Mhe. Leticia Nyerere ameyasema hayo wakati alipoongea na baadhi ya waTanzania waishio DMV Nchini Marekani.
Sourece: Shatry E. (March 9, 2013). Leticia Nyerere alipo ongea na baadhi ya waTanzania waishio DMV kuhusu dual citizenship. Retrieved from Swahilivilla blog
No comments:
Post a Comment