Nilipaswa
kuripoti Kambini JKT Ruvu Leo. Nimeamua kusitisha kwanza uamuzi wangu
wa awali wa kujiunga na JKT kwa sababu kadha wa kadha. Kama ilivyo ada
Nitakuwa jimboni kuendelea na Kazi zangu za kila siku. Kila la kheri kwa
wabunge wenzangu mtakaojiunga Kambini.
Source: Joshua Nassar Facebook wall. Follow Nassar on Facebook click here, Josh Nassar
No comments:
Post a Comment