Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Thursday, March 7, 2013

CHADEMA LONDON KIMEMKARIBISHA BALOZI WA TANZANIA



CHADEMA LONDON KIMEMKARIBISHA BALOZI WA TANZANIA UK KAMA KIONGOZI MUWAKILISHI WA WATANZANIA WOTE HAPA UK. CHADEMA UK KINATHAMINI UWAKILISHI WAKE KWA WATANZANIA WOTE KUTOKA CUF CHADEMA NA CCM,CHADEMA.CHADEMA UK KINAAMINI SISI WOTE NI WATZ TATIZO NI MFUMO MBOVU WA UONGOZI WA TAIFA LETU MUNGU IBARIKI TANZANIA.CCM,CHADEMA CUF VITAPITA TANZANIA HAITAPITA ITABAKI MILELE.

No comments: