MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, akimjulia hali Mbunge wa Viti Maalum wa chama hicho Mkoa wa Iringa, Chiku Abwao, jana. Mbunge huyo amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya kufanyiwa operesheni ya mguu, hivi karibuni. Hadi jana Bi. Abwao alikuwa anaendelea vizuri, akipata matibabu.
No comments:
Post a Comment