Wajumbe wa baraza kuu la CHADEMA tayari kwa mkutano Chadema |
Wajumbe wa baraza kuu wakionyesha ishara ya vidole viwili kumaanisha AMANI
|
Aliyekuwa naibu katibu mkuu wa NCCR-MAGEUZI TAIFA, Ndg. Laurent Tara, akikabidhiwa rasmi kadi ya CHADEMA leo kwenye kikao cha baraza kuu la CHADEMA kilichofanyika Jijini Dar es Salaam
|
Wajumbe wa baraza kuu la chadema wakiendelea na mkutano |
No comments:
Post a Comment